LUVIZA
Sera ya Faragha
Tunachokusanya: jina kamili, jina la mtumiaji, namba ya simu, barua pepe, nchi, na historia ya oda na malipo yako.
Tunavyotumia: kuendesha akaunti yako, kuhesabu referral na bonus, kuchakata oda na kutuma malipo kwenye namba uliyosajili.
Hatuuzi taarifa zako kwa watu wengine. Tunazishiriki tu na watoa huduma wa malipo pale inapohitajika kukamilisha muamala.
Usalama: nenosiri lako linahifadhiwa kwa njia ya usimbaji, hatuwezi kulisoma.
Timu yako: aliyekualika ataona jina lako kamili na jina la mtumiaji. Namba yako ya simu ataiona tu kama uliruhusu wakati wa kujisajili.
Maswali au kufuta akaunti: wasiliana na kampuni kupitia mawasiliano yaliyo kwenye tovuti.